Modeli za 3D unazoweza kuzungusha na kuona plani ya ndani ya kila nyumba. Ni michoro ya dhana; vipimo vya mwisho vitathibitishwa na architect.
Ngazi kwenye kona ya L, balcony ya kupita, parking 8, playground, backyard na water tanks.
Master yenye walk-in na en-suite, kila chumba na choo chake, sebule na dining open plan, parking 4.